Licheni ni sehemu ya ngozi iliyobadilika kuwa ngumu na nene, hutokea sana kutokana na kujukuna mara kwa mara kwenye eneo leny izima.Baadhi ya mifano inayofanana na licheni ni jiwe au mti uliochanusha magome magumu yaliyokauka katika shina lake.