Upele ni jeraha lenye mzingo lililoinuka juu ya usawa wa sakafu ya ngozi, kwa kawaida huwa na kipenyo cha chini ya sentimita 1. Jeraha hili linaweza kutokana na mabadiliko ya epidemo au demo. Upele hufahamika pia kwa jina jingine la papule.
top of page
To test this feature, visit your live site.
Comments (0)
bottom of page