Mmi sijawahi kupima Ila huwa natokwa sana na mapele makubwa magumu ambayo wakati mwingine hayaumi baadae yanaiva Kama jibu yanatoa usaha kinaweza kutoka kimoja tu afu kikapotea nakaa kwa mda mrefu afu kinajitokeza Tena na nimeanza kuona hizi dalili kabla hata sijavunja ungo na kabla hata ya kuanza kujamiiana msaada pls
Azuma inaweza kutibu gono kama gono hiyo imesababishwa na bakteria Neisseria gonorrhoeaena sio usaha uliosababishwa na magonjwa mengine ya zinaa.
Wanaume wengi hudhani kuwa kutokwa na usaha sehemu za siri husababishwa na gono tu na hivyo huwapelekea kutumia Azithromycin bila ushauri wa daktari. Hili ni kosa linalopaswa kuachwa mara moja kwa kuwa husababisha madhara zaidi ya faida ambayo ni;
Usugu wa vimelea vya maradhi kweye dawa hiyo
Dawa kupoteza uwezo wa dawa kutibu ugonjwa huo
Kuoneza sumu mwilini. Dawa yoyote ile iwe ya asili au hospitali ni sumu mwilini, hivyo inapaswa kuepukwa kwa namna yoyote ile
Gharama zaidi za matibabu. Usugu wa vimelea unapotokea, dawa hii haiwezi kukutibu tena, na hivyo utahitajika kutibiwa na dawa nyingine. Dawa nyingine inayoweza kukutibu inaweza kufahamika bada ya kipimo cha culture and sensitivity ambacho ni gharama na dawa yenyewe itakuwa gharama pia.
Kutokwa usaha sehemu za siri husababishwa na nini?
Endapo (mwanaume) utafahamu kuwa kutokwa na usaha sehemu za siri huweza kusababishwa na ugonjwa wowote ule wa zinaa kama klamidia, kisonono, trikomoniasisi, basi acha kutumia AZUMA au dawa yoyote ila kushauriwa na daktari wako. Ongea na daktari kufahamu ni dawa gani inafaa kwako.
Kumbuka
Mtu anapotokwa usaha kwenye uume anapofika hospitali, hutibiwa kama mgonjwa wa magonjwa ya zinaa yaani klamidia, kisonono, na trikomoniasisi kwa dawa zaidi ya aina moja na si AZUMA tu kama wengi wanavyofanya.
Penda kujisomea zaidi kuhusu chanzo cha dalili zako na kuwasiliana na daktari kabla ya kufanya uamuzi binafsi wowote.
Wapi unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu magonjwa ya zinaa?
Unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu magonjwa ya zinaa kwa daktari wako.
Kwanini nimetumia azuma na sijapona dalili za gono
Natokwa usaha kwenye uume nimetumia gono sijapona ni kwanini?
Visababishi vingine vya uume kutoa usaha
Maoni yako
Toa maoni yako kuhusu hili kisha utajibiwa maswali yako na daktari wa ULY CLINIC, au tuma email kupitia linki ya 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.
Mmi sijawahi kupima Ila huwa natokwa sana na mapele makubwa magumu ambayo wakati mwingine hayaumi baadae yanaiva Kama jibu yanatoa usaha kinaweza kutoka kimoja tu afu kikapotea nakaa kwa mda mrefu afu kinajitokeza Tena na nimeanza kuona hizi dalili kabla hata sijavunja ungo na kabla hata ya kuanza kujamiiana msaada pls
Video fupi kuhusu Azuma na magonjwa yanayotibika kwa kutumia dawa hii.
Video hii ina maelezo muhimu kuhusu magonjwa yanayotibiwa na AZUMA yenye jina halisi la azithromycin
Kwa maelezo zaidi wasiliana na daktari wako.
Subscribe youtube channel ya ULY CLINIC kwa video mpya za afya
Asante kwa kutazama.
Azuma inatibu gono?
Ndio!
Azuma inaweza kutibu gono kama gono hiyo imesababishwa na bakteria Neisseria gonorrhoeae na sio usaha uliosababishwa na magonjwa mengine ya zinaa.
Wanaume wengi hudhani kuwa kutokwa na usaha sehemu za siri husababishwa na gono tu na hivyo huwapelekea kutumia Azithromycin bila ushauri wa daktari. Hili ni kosa linalopaswa kuachwa mara moja kwa kuwa husababisha madhara zaidi ya faida ambayo ni;
Usugu wa vimelea vya maradhi kweye dawa hiyo
Dawa kupoteza uwezo wa dawa kutibu ugonjwa huo
Kuoneza sumu mwilini. Dawa yoyote ile iwe ya asili au hospitali ni sumu mwilini, hivyo inapaswa kuepukwa kwa namna yoyote ile
Gharama zaidi za matibabu. Usugu wa vimelea unapotokea, dawa hii haiwezi kukutibu tena, na hivyo utahitajika kutibiwa na dawa nyingine. Dawa nyingine inayoweza kukutibu inaweza kufahamika bada ya kipimo cha culture and sensitivity ambacho ni gharama na dawa yenyewe itakuwa gharama pia.
Kutokwa usaha sehemu za siri husababishwa na nini?
Endapo (mwanaume) utafahamu kuwa kutokwa na usaha sehemu za siri huweza kusababishwa na ugonjwa wowote ule wa zinaa kama klamidia, kisonono, trikomoniasisi, basi acha kutumia AZUMA au dawa yoyote ila kushauriwa na daktari wako. Ongea na daktari kufahamu ni dawa gani inafaa kwako.
Kumbuka
Mtu anapotokwa usaha kwenye uume anapofika hospitali, hutibiwa kama mgonjwa wa magonjwa ya zinaa yaani klamidia, kisonono, na trikomoniasisi kwa dawa zaidi ya aina moja na si AZUMA tu kama wengi wanavyofanya.
Penda kujisomea zaidi kuhusu chanzo cha dalili zako na kuwasiliana na daktari kabla ya kufanya uamuzi binafsi wowote.
Wapi unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu magonjwa ya zinaa?
Unaweza kupata taarifa zaidi kuhusu magonjwa ya zinaa kwa daktari wako.
Kupata taarifa zaidi kuhusu magonjwa ya zinaa na namna yanavyotibiwa, kupitia makala za ULY CLINIC bofya hapa.
Video ya maelezo ya ziada kuhusu azuma
Makala hii imejibu maswali haya
Azuma inatibu gono?
Kwanini nimetumia azuma na sijapona dalili za gono
Natokwa usaha kwenye uume nimetumia gono sijapona ni kwanini?
Visababishi vingine vya uume kutoa usaha
Maoni yako
Toa maoni yako kuhusu hili kisha utajibiwa maswali yako na daktari wa ULY CLINIC, au tuma email kupitia linki ya 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.
Rejea za mada hii;
@ ULY CLINIC. Dawa za kutibu gono. https://www.ulyclinic.com/dawa-gono. Imechukuliwa 13.07.2021
@ULY CLINIC. Dalili za gono. https://www.ulyclinic.com/dalili-za-ugonjwa/Dalili-za-Gono%28kisonono%29. Imechukuliwa 13.07.2021
@ULYCLINIC. Magonjwa ya zinaa. https://www.ulyclinic.com/magonjwa-na-saratani/Magonjwa-ya-zinaa. Imechukuliwa 13.07.2021
@ULY CLINIC. Uume kutoa usaha. https://www.ulyclinic.com/dalili-za-ugonjwa/Uume-kutoa-usaha. Imechukuliwa 13.07.2021
@ ULYCLINIC. Usaha sehemu za siri. https://www.ulyclinic.com/dalili-za-ugonjwa/Usaha-sehemu-za-siri . Imechukuliwa 13.07.2021
@ULYCLINIC. Azithromycin. https://www.ulyclinic.com/dawa/Azithromycin. Imechukuliwa 13.07.2021