Dalili za hatari baada ya kujifungua ni dalili zinazotokea ndani ya siku 42 baada ya kujifungua.Video ifuatayo imeelezea kuhusu dalili hatari baada ya kujifungua.