Kuna dawa nyingi jamiiya antibayotiki zinazotibu gono (gonorrhea), kulingana na mwongozo wa Tanzania, Matibabu ya mgonjwa wa gono hulenga kutibu magonjwa yote ya zinaa yanayosababishwa na bakteria ikiwa pamoja na gono. Ili kufahamu kuhusu dawa na dozi na kina nani wanapaswa kutumia, ingia kwenye kurasa maalumu ya ULY CLINIC inayohusu dawa za gono kwa kubofya hapa https://www.ulyclinic.com/dawa-gono ili kupata majibu