habari mi nilikuwa nina swali nimeona nakala yenu ya mwaka jana kama sikosei kuhusu hofu/ wasiwasi mm nina tatizo hilo yaan linanisumbua sana kila nikijitahid kujicontrol nashindwa inafika wakat natetemek hata nikiwa peke yangu sielew nikiwa kwa watu kabis hata kusimam siwezi. Hili tatizo linasababishwa na nini?
top of page
To test this feature, visit your live site.
Hofu na wasiwasi uliopitiliza
Hofu na wasiwasi uliopitiliza
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Kila mtu hupata wasiwasi kwenye maisha yake, kuna mambo mengi yanayoweza kufanya mtu apate wasiwasi, mfano unapoenda kufanya mtihani, unapofanya interview ya kazi au unapowaza kuhusu kufanyiwa upasuaji. Wasiwasi ni kawaida kwenye maisha.Â
​
Hata hivyo hofu kwa watu wengi huja na kuondoka, endapo hofu inadumu hupelekea maisha yamtu kupungua thamani kwa kuishi bila kujiamini na kushindwa kushiriki vema kwenye kazi. Soma zaidi kwa kubonyeza hapa