Daktari, nataka kujua kuhusu homa na Tiba yake maana mimi nina homa hapa na nina umri wa miaka 20.
Hili ni swali ambalo niliulizwa na mteja, majibu yalikuwa hivi
Homa kitabibu humaanisha kupanda kwa joto mwilini. Hali hii huweza kusababishwa na Hali au maambukizi mbalimbali ndani ya mwilini. Kitu Cha kwanza kufanya kwa mtu mwenye homa kali ni kutumia dawa za kushusha homa Kama parasetamo au aspirini baada ya hapo inabidi kuwasiliana na Dr haraka ili akupime na kutambua tatizo lako ni nini kwa baadhi ya watu walio na homa isiyo Kali wanaweza kupunguza idadi ya nguo mwilini na homa ikapungua. Hata hivyo ni vizuri kuongeana daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyote ile. Ili kupata ufahamu zaidi kuhusu homa. visababishi na matibabu ya nyumbani tafadhari bonyeza hapa kusoma zaidi