Inachukua muda gani kupona gono baada ya kuanza kutumia dawa?
top of page
To test this feature, visit your live site.
Edited:Â Nov 06, 2021
Inachukua muda gani kupona gono?
Inachukua muda gani kupona gono?
4 answers1 reply
Like
Maoni (5)
bottom of page
Kama una dalili za gono na ukapata matibabu sahihi kwa wakati, itachukua siku chache ndani ya wiki kupotea kwa dalili, hata hivyo inaweza kuchukua hadi wiki mbili (2) endapo kulikuwa na dalili ya maumivu kwenye korodani au ya via vya ndani ya nyonga.
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu gono?
Soma zaidi kuhusu kutokwa usaha sehemu za siri na gono kwa kubofya makala zifuatazo:
Utajuaje umepona gono?
Ugonjwa wa gono
Dawa za gono
Madhara ya gono bofya hapa