Kutekenya kwa miguu husababishwa na mazaivu katika mishipa ya fahamu. Hii ni dalili mojawapo ambayo unaweza kuipata endapo mshipa wa fahamu umekandamizwa au ikiwa kuna ugonjwa mwilini unadhuru mishipa ya fahamu kama vilekisurarina UKIMWI. Soma makala hii katika makala za magonjwa ya neuropathy au miguu kuwaka motokwa majibu zaidi
Kutekenya kwa miguu husababishwa na mazaivu katika mishipa ya fahamu. Hii ni dalili mojawapo ambayo unaweza kuipata endapo mshipa wa fahamu umekandamizwa au ikiwa kuna ugonjwa mwilini unadhuru mishipa ya fahamu kama vile kisurari na UKIMWI. Soma makala hii katika makala za magonjwa ya neuropathy au miguu kuwaka moto kwa majibu zaidi