Amoxicillin ni dawa mojawapo iliyo kwenye kundi la dawa za antibiotic. Dawa hii hutumika kutibu magonjwa mbalimbali ambayo yameorodheshwa tayari kwenye tovuti hii. Bonyeza hapa kusoma zaidi kuhusu magonjwa yanayotibiwa na dawa hii. Kumbuka unatakiwa wasiliana na daktari wako upata dozi sahihi na dawa inayoendana na tatizo lako. Epuka usugu wa dawa kwa kufuata ushauri wa daktari mwenye weredi.