Mtoto wangu ni siku ya pili tangu azaliwe hajapata kinyesi hii ni kawaida?
Kinyesi cha kwanza kinachotolewa na mtoto huwa tofauti na kinyesi kingine. Kuchelewa kutoa kinyesi cha kwanza huweza kusababishwa na matatizo mbalimbali. Mada hii imeelezea kuhusu muda wa kupitisha kinyesi cha kwanza kwa mtoto aliyezaliwa.
Tafiti zinaonyesha kuwa ni kawaida kwa vichanga kupitisha kinyesi cha kwanza ndani au baada ya masaa 24. Hata hivyo tafiti hii ilionyesha kuwa baadhi ya watoto walipitisha kinyesi baada ya masaa 48 hukuWakiwa hawana shida yoyote ile.
Wamama hawapaswi kuwa na wasiwasi endapo mtoto aliyezaliwa na afya njema hajapitisha kinyesi baada ya masaa 24, hata hivyo endapo kinyesi cha kwanza hakijatoka baada ya masaa 48, mtoto anapaswa kupelekwa hospitali kufanyiwa uchunguzi.
Rejea za mada hii;
1. Okoro, Philemon E, and Cosmos E Enyindah. “Time of passage of First Stool in Newborns in a Tertiary Health Facility in Southern Nigeria.” Nigerian journal of surgery : official publication of the Nigerian Surgical Research Society vol. 19,1 (2013): 20-2. doi:10.4103/1117-6806.111503
2. Kramer I. The time of passage of the first stool and first urine by the newborn infant. J Pediatr. 1955;46:158–9. [PubMed] [Google Scholar].
3. Tunc VT, Camurdan AD, Ilhan MN, Sahin F, Beyazova U. Factors associated with defecation patterns in 0-24-month-old children. Eur J Pediatr. 2008;167:1357–62. [PubMed] [Google Scholar]
4. Gulcan H, Gungor S, Tiker F, Kilicdag H. Effect of perinatal factors on time of first stool passage in preterm newborns: An open, prospective study. Curr Ther Res Clin Exp. 2006 May;67(3):214-25. doi: 10.1016/j.curtheres.2006.06.002. PMID: 24678097; PMCID: PMC3966019.
A grin helps as well! The possibly time I'd consider not utilizing a photograph is in the event that you're a genuinely extremely appealing individual, especially female. Photographs of dating profile pictures appealing individuals will is, instead of 'what you resemble.