Je ni wiki ngapi zinatakiwa kupita ili nijifungue?
Inachukua wiki ngapi za ujauzito ili kujifungua mtoto kamili?
Kujifungua ni siku ngapi za ujauzito?
Wiki ya kujifungua
Wiki ya kujifungua mtoto wa kiume
Wiki ya kuzaa mtoto
Video inayofuata ina maelezo kuhusu kujifungua ni wiki ngapi.
Mambo mengine unayopaswa kufahamu baada ya kujifungua
Baada ya kujifungua unaweza kupata mimba nyingine mara moja, hivyo utapaswa kutumia kinga ili kuzuia mimba. Linki ifuatayo ina video zinazoainisha siku za hatari kulingana na mzunguko wako wa hedhi. Bofya kiungo cha makala husika hapa chini ili kufahamu ni lini unaweza kushika ujauzito hivyo ujikinge.
Mwanamke aliyepata period kwa wiki 3 je alafu akabeba mimba anaweza akajifungua hyo tarehe ya makadirio au anaweza akapitiliza