Kutapika ni tendo la kawaida kwa wanawake wengi walio katika kipindi cha kwanza cha ujauzito, wiki 12 za mwazoni. Visababishi vya kutapika vinaweza kuwa vya kawaida au vinavyohitaji uchunguzi wa daktari.Kutapika majimaji yenye rangi ya kijani yanayoelekea njano au kuanza na njano kisha kuelekea kijani au njano kijani huashiriaa kutapika nyongo.Kuna sababu kadhaa zinazoweza sababisha kutapika nyongo wakati wa ujauzito, sababu kuu ikiwa ni na mabadiliko ya homoni.Matibabu ya kutapika nyongo huelekezwa kwenye kisababishi na kubadili mtindo wa maisha.
Visababishi vya kutapika sana mwanzoni mwa ujauzito ni nini?
Kisababishi halisi cha kutapika sana kipindi cha kwanza cha ujauzito hakifahamiki, baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa kuna mabadiliko chanya ya homoni yaliyo na uhusiano mkubwa sana na kutapika.
Wanawake wenye homoni ya hCG au estrogen kwa wingi kwenye damu wanaonekana kupata kichefuchefu zaifi na kutapika kuliko wenye kiwango cha chini cha homoni hizi wakilinganishwa. Hii ndio maana wanawake wenye mimba ya mapacha huwa na hatari ya kuwa na kiwango cha homoni nyingi yah CG na kutapika zaidi.Kisababishi cha kutapika nyongo wakati wa ujauzito ni nini?Kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa kiwango cha homoni hCG na estrogen kipindi cha kwanza cha ujauzito kuanzia wiki ya 6 hadi ya 12, mabadiliko hayo husababisha kichefuchefu na kutapika. Kutapika sana nje ya mwili vyote vilivyomo tumboni na hivyo hufuatiwa na kutapika matapishi ya njano ambayo humaanisha tindikali inayokaa tumboni na kufuatiwa matapishi ya njano kijani ambayo humaanisha nyongo. Hivyo kisababishi kukuu cha kutapika nyongo ni kutokuwa na chochote tumboni au tumbo wazi.Visababishi vingine ni;Ugonjwa wa kucheua nyongo, ugonjwa huu hutokea sana kwa watu na huhitaji matibabu ya dawa au upasuaji. Maelezo zaidi ya dalili na matibabu ya kucheua nyongo yapo kwenye Makala nyingine ndani ya tovuti hii ya ulyclinicKuendelea kusoma makala hii kuhusu dalili na vipimo na matibabubofya hapa
Kutapika nyongo kwa mjamzito
Kutapika ni tendo la kawaida kwa wanawake wengi walio katika kipindi cha kwanza cha ujauzito, wiki 12 za mwazoni. Visababishi vya kutapika vinaweza kuwa vya kawaida au vinavyohitaji uchunguzi wa daktari. Kutapika majimaji yenye rangi ya kijani yanayoelekea njano au kuanza na njano kisha kuelekea kijani au njano kijani huashiriaa kutapika nyongo. Kuna sababu kadhaa zinazoweza sababisha kutapika nyongo wakati wa ujauzito, sababu kuu ikiwa ni na mabadiliko ya homoni. Matibabu ya kutapika nyongo huelekezwa kwenye kisababishi na kubadili mtindo wa maisha.
Visababishi vya kutapika sana mwanzoni mwa ujauzito ni nini?
Kisababishi halisi cha kutapika sana kipindi cha kwanza cha ujauzito hakifahamiki, baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa kuna mabadiliko chanya ya homoni yaliyo na uhusiano mkubwa sana na kutapika.
Wanawake wenye homoni ya hCG au estrogen kwa wingi kwenye damu wanaonekana kupata kichefuchefu zaifi na kutapika kuliko wenye kiwango cha chini cha homoni hizi wakilinganishwa. Hii ndio maana wanawake wenye mimba ya mapacha huwa na hatari ya kuwa na kiwango cha homoni nyingi yah CG na kutapika zaidi. Kisababishi cha kutapika nyongo wakati wa ujauzito ni nini? Kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa kiwango cha homoni hCG na estrogen kipindi cha kwanza cha ujauzito kuanzia wiki ya 6 hadi ya 12, mabadiliko hayo husababisha kichefuchefu na kutapika. Kutapika sana nje ya mwili vyote vilivyomo tumboni na hivyo hufuatiwa na kutapika matapishi ya njano ambayo humaanisha tindikali inayokaa tumboni na kufuatiwa matapishi ya njano kijani ambayo humaanisha nyongo. Hivyo kisababishi kukuu cha kutapika nyongo ni kutokuwa na chochote tumboni au tumbo wazi. Visababishi vingine ni; Ugonjwa wa kucheua nyongo, ugonjwa huu hutokea sana kwa watu na huhitaji matibabu ya dawa au upasuaji. Maelezo zaidi ya dalili na matibabu ya kucheua nyongo yapo kwenye Makala nyingine ndani ya tovuti hii ya ulyclinic Kuendelea kusoma makala hii kuhusu dalili na vipimo na matibabu bofya hapa