Kwa waendeshaji wote wa huduma za maabara, hospitali, kliniki na famasi. Kwa sasa unaweza kuendesha huduma hizi kwa ubora zaidi kwa kutumia simu ya mkononi kupitia application ya 'uly clinic' kwa namna hii
Kwa maabara
1. Mteja anaweza kujua aina gani ya vipimo vinavyofanyika katika maabara yako na kwa bei gani
2. Atajua endapo kipimo hakipo kwa muda huo kwa wewe kukiondoa katika listi ya vipimo unavyotoa
3.Atafanya appointment ya kuja kufanya kipimo na mwisho anaweza kulipia moja kwa moja ili akija afanye tu na kuondoka
4.Unaweza kumtumia majibu yake kkupitia applicationhii kisha yeye akamtumia daktari wake kupitia application
kwa Mfamasia
1.1. Mteja anaweza kujua aina gani ya dawa anayotaka kama inapatikana kwenye famasi yako na kwa bei gani
2. Atajua endapo dawa haipo kwa muda huo kwa wewe kumwambia kwamba dawa hii haipatikani
3. Mteja wako ataweza kulipia dawa kwenye namba ambayo umeichagua na kuja kuchukua dawa baadae
Kwa Hospitali
1.Mteja anaweza kufanya appointment na daktari kabla ya kuja hospitali kupitia simu ya mkononi. Taarifa zote za umuhimu (medical history) kwa ajili ya kuandikisha file lake na kumsaidia daktari kujua diagnosis zitajazwa na mteja na kuzituma kwa daktari kupitia application ya uly clinic
2. Daktari anaweza kumwandikia kipimo na dawa kupitia fomu maalumu zilizo kwenye application ya uly clinic
3. Wagonjwa wa outpatient watafika hospitali kwa muda na kupata tiba kisha kuondoka kwa muda kwani watakuwa wamefika kulingana na muda daktari amewapa. haina haja ya mgonjwa kuja hospitali kuomba appointment ya kuonana na daktari
5. Mgonjwa anaweza lipia kwa namba ya simu mnayoitumia kabla hajaja kupata tiba.
6.Mgonjwa anaweza kupewa/kuomba ushauri wowote kwa wakati wowote na kupata mabadiliko ya tiba mda huo huo bila kucheleweshwa
7. Taarifa za mgonjwa zinaweza kuwa printed na kuwekwa kwenye file la mgonjwa na daktari mwenyewe.
8.Hopsitali inaweza kufanya tafiti zake kwa wagonjwa wake kupitia application hii
kwa clinic

na watu wengine wanaotoa huduma za afya wakijitegemea kama daktari, nesi, mfamasia na daktari wa mazoezi
Kumbuka mfumo huu unatunza taarifa za malipo ya mteja na tiba hivyo ni mfumo mzuri kwani unakupa uwezo wa kutunzakumbukumbu za taasisi au mtu binafsi
Je utatoa gharama yoyote ile kutumiaa huduma hizi?
Hapana hutatoa gharama yoyote ile ili kutumia huduma hizi za uly clinic kwa miezi 6 ya kwanza ya kuanza kutumia gharama application hii. Baada ya kuridhika na huduma hizi miezi sita inayofuata utaanza kulipia gharam kiasi tu mfano utalipia shilingi elfu 5 tu kwa mwezi kama mtu binafi na kama taasisi utalipia elf 20 tu kwa mwezi ili kutumia huduma za uly clinic
Unajiungaje?
Endapo umependa na unahitaji kutumia huduma hizi ingia kwenye tovuti sehemu inayoitwa fanya kazi nasi kisha utaombwa kujaza taarifa chache au
kujiunga bonyeza hapa na kuinstal application bonyeza hapa
Kwa maswali au maelezo zaidi piga simu kupitia namba zilizo chini ya tovuti hii