Mate kuwa meupe kama maziwa fresh, au maziwa mgando wakati wa asubuhi huweza kusababishwa na sababu mbalimbali. Kisababishi kikubwa ni kuzaliana kwa fangasi kupiti kiwango cha kawaida katika kinywa. Dalili zingine zinaweza kuambatana na tatizo hili la fangasi wa kinywa ambazo zimeorodheshwa katika makala ndani ya tovuti hii. Soma zaidi kuhusu fangasi wa kinywa/ulimi kwa kubonyeza hapa.
Visababishi vingine ni
Tatizo la kukauka kwa kinywa (kinywa kikavu)
Matumizi ya dawa za kukausha mate
Matumizi ya dawa za antibiotics zinazoua bakteria rafiki wa kinywa na
Sababu zisizofahamika.
Wasiliana na daktari wako kwa uchunguzi zaidi na tiba endapo una tatizo hili