Dokta, je kama mgonjwa anakojoa mkojo wenye harufu na anapata muwasho sehemu zote za siri pamoja na kutokwa vipele tatizo huwa nini?
top of page
To test this feature, visit your live site.
Mkojo harufu mbaya, vipele sehemu za siri|ULY CLINIC
Mkojo harufu mbaya, vipele sehemu za siri|ULY CLINIC
1 answer0 replies
Like
Maoni (1)
bottom of page
Harufu ya mkojo
Matumizi ya baadhi ya vyakula na dawa mfano baathi ya vitamin huweza kubadili harufu ya mkojo, hata hivyo kuwa na maji kidogo mwilini na maambukizi ya UTI pia huweza kubadili rangi pamoja na harufu ya mkojo
Sababu zingine zinaweza kuwa
Fistula kati ya mrija wa mkojo na njia ya haja kubwa
Kisukari aina ya pili
Ugonjwa wa maple syrup
Magonjwa ya kimetaboliki
Ili kujua zaidi kuhusu ni nini shida yako wasiliana na daktari wako kwa uchunguzi na Tiba.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba popote ulipo kwa kutumia namba za simu chini ya tovuti hii.