Swali lililulizwa "Habari Dr mke wangu katimiza wiki ya 21 na n mtoto wa pili na mtoto hajaanza kucheza Kuna tatizo?"
Majibu
Baadhi ya wamama wanaweza kuchelewa kupatahisia za mtoto kuchheza au kutofahamu hisia za mtoto kucheza zipoje na hivyo kudhani kuwa mtoto hachezi.
Jambo la msingi kufahamu ni kwamba, kama umetimiza wiki ya 20 na hupati hisia na unawasiwasi, nenda kafanye kipimo cha kuangalia kama mtoto anakuwa vema chenye jina la ultrosound.
Maelezo zaidi
Kwa maeelezo zaidi kuhusu kucheza kwa mtoto tumboni bofya linki zifuatazo
Video vya kucheza kwa mtoto tumboni https://youtu.be/i9yiOA1-21c
Maelezo ya hisia za kucheza kwa mtoto tumboni https://www.ulyclinic.com/vidokezo-vya-kiafya/hisia-za-mtoto-kucheza-tumboni