Anozmia ni neno kiswahili lililotokana na neno la kiingereza anosmia ambalo lilitoholewa kutoka neno la kigiriki “osme” lenye maana na nusa na “an” linaloanza ni neno la kizungu linalomaanisha “bila” hivyo neno anozmia linatumika kumaanisa kupoteza uwezo wa kunusa au kutokuwa na uwezo wa kunusa
Baadhi ya maneo mengine yanayotumika ni kama upofu wa kunusa
Anozmia mara zote husababishwa na kuziba kwa tezi za kunusa kutokana na homa baridi, rinaitis, homa ya hay, na polipsi ndani ya pua.
Kupoteza uwezo wa kunusa ni kawaida jinsi mtu anavyozeeka umri,, lakini kuna baadhi ya dawa zinaweza kuongeza au kuharibu uwezo wa kunusa. Sababu zingine zinazoleta tatizo hili zinatokana na kuharibika kwa mishipa ya fahamu inayopitisha taarifa za kunusa kuharibika huku huweza kutokana na kupata ajali mbaya kichwani, maambukizi ya virusi ndani ya kichwa na tiba mionzi kichwani.

Soma zaidi kwa kubonyeza hapa