"Mimi mwili unakuwa unauma mwanzo nlikuwa nahisi maumivu makali ya mgongo na kiuno nkaenda hospitali nkaambiwa UTI nikapewa cipro na doxy ile"
Hilo ni swali lililoulizwa na mteja kwamba ni nini anaumwa akitaka kujua kwa undani. na nilipata kumjibu hivi
"Karibu sana ndugu....... Sasa ili tuweze kujua tatizo lako kabisa ni vema kuingia kwenye application yetu ambayo ina maswali ya msingi unayotakiwa kuyajibu. Download application yetu kupitia google play store inayoitwa 'uly clinic' kisha ingia jaza fomu na upate tiba. Kumbuka unaweza chagua mkoa wa arusha na jina pa dr ni Dr sospeter mangwella, MD. Baada ya hapo jaza na fuata maelekezo. Ukifanya hivyo itakuwa rahisi kujua tatizo lako. Asante na karibu sana"
Bonyeza hapa kusoma kuhusu maumivu ya kichwa kisha ukiw aunajaza fomu tueleze ni maumivu yako yakoje
ningependa kuwaomba wale wote wenye matatizo wawasiliane kwa kutumia application yetu ya uly clinic kwa kuchagua daktar kwenye mkoa aliopo au mkoa wowote ule unaoona kuwa ni vema kwako. Chagua sehemu ya omba tiba, kisha fuata maelekezo. Hii itamsaidia daktari kukupa au kujua tatizo lako kutokana na maelezo utayoyajaza kwenye fomu inayouliza maswali ya kitaalamu. Usisahau kuweka maelezo ya ziada. Bonyeza hapa kuinstal application ya uly clinic au piga simu kwa namba zilizopo chini ya tovuti hii kwa maelezo zaidi. Karibuni sana kwa tiba na ushauri