Swali
Samahani, naomba kuuliza T.Neurobion na Neuroton zinautofati?
Majibu
Kiini cha dawa hizi mbili hufanana yaani huwa na mchanganyiko wa Vitamin B1, B6 na B12. Hata hivyo uzito kila vitamini huweza kutofautiana kati ya dawa hizi mbili na hivyo kuleta madhara tiba na ufanisi wa kutofautiana.
Unashauriwa kusoma maelekezo ya mtengenezaji kufahamu kiwango halisi cha kila vitamini zilizopo kwenye hizi. Pia sikiliza maelekezo ya daktari wako kwambia ununue dawa gani na unaweza kumuuliza pia kwa maelezo zaidi ya utofauti wa dawa hizi katika tiba.
Majina mengine ya T. Neurobion
T. nurobion hufahamika kwa kirefu kama tab neruobion ikimaanisha kidonge cha neurobion.
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?
Pata maelezo zaidi kwa kusoma makala au video kuhusu