Huu ni ujumbe mwingine lazima niutolee maelekezo hapa, kuna wateja wameuliza hili swali na nisingependa wengine wasijue. Niliwajibu namna hii
"Karibu ndugu...... Labda sijaelewa ujumbe wako. Naomba ufafanue zaidi. Lakini sisi tunahusika kuwawezesha wagonjwa kupata tiba maeneo waliyopo. Lakini pia tunatoa makala mbalimbali za kiafya kupitia website yetu ya ulyclinic.com. Kujua zaidi namna unavyoweza kunufaika na mfumo wetu kutoka huduma za afya au vipimo kutoka maabara yako ingia kwa kubonyeza hapa kwenye hii link Karibu sana"
Majibu haya ni kwa wale wenye vituo vya kutolea huduma za afya mfano hospital, clinic, dispensary, maabara n.k Kumbuka vipimo vinavyofanyika ni vile ambavyo maabara husika inafanya kwa wakati huo. Ni vema kuangalia bei ya vipimo kabla ya kufanya kwa kutumia application ya uly clinc