UKIMWI husabaishwa na maambukizi ya kirusi cha UKIMWI kinachoambukizwa kwa njia mbalimbali ambazo zimeandikwa katika video chini.
Virusi vya UKIMWI hufahamika pia kwa jina la VVU au HIV. Kuna aina mbili za Virusi vya UKIMWI, yaani VVU1 na VVU2.
Mara baada ya kuwa kwenye kihatarishi, maambukizi ya VVU yanaweza kugundulika ndani ya siku 10 hadi 90 ikitegemea aina ya kipimo. Tazama video kwa maelezo zaidi.
Dalili za UKIMWI ni kama zifuatazo:
Mara baada ya mtu kupata maambukizi, kwa kawaida huchukua miaka 8 hadi 10 kwa dalili za UKIMWI kuonekana. Dalili za UKIMWI zikionekana humaanisha kuwa kinga ya mwili imekuwa chini zaidi ya kawaida. Kwenye video hii utajifunza dalili za awali ambazo zinaonekana ndani ya siku chache baada ya kupata maambukizi ya VVU.
Rejea za mada
Maambukizi ya virusi vya UKIMWI. https://www.ulyclinic.com/foramu/create-post. Imechukuliwa 2.07.2023
Sax PE, et al. The natural history and clinical features of HIV infection in adults and adolescents. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.07.2023
Ferri FF. Human immunodeficiency virus. In: Ferri's Clinical Advisor 2020. Elsevier; 2020. https://www.clinicalkey.com. Imechukuliwa 2.07.2023
Hardy WD, et al., eds. HIV testing and counseling. In: Fundamentals of HIV Medicine 2019 Edition. American Academy of HIV Medicine. Oxford University Press; 2019.
AIDS and opportunistic infections. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/livingwithhiv/opportunisticinfections.html.Imechukuliwa 2.07.2023
Jameson JL, et al., eds. Human immunodeficiency virus disease: AIDS and related disorders. In: Harrison's Principles of Internal Medicine. 20th ed. The McGraw-Hill Companies; 2018. http://accessmedicine.mhmedical.com. Imechukuliwa 2.03.2020
What are HIV and AIDS? HIV.gov.https://www.hiv.gov/hiv-basics/overview/about-hiv-and-aids/what-are-hiv-and-aids. Imechukuliwa 2.07.2023
Sax PE. Acute and early HIV infection: Clinical manifestations and diagnosis. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.07.2023
Pollack TM, et al. Primary care of the HIV-infected adult. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 2.03.2020
About HIV/AIDS. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/whatishiv.html. Imechukuliwa 2.07,2023
HIV Basics. PEP. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/hiv/basics/pep.html. Imechukuliwa 2.03.2020
ULY CLINIC doctor. Vihatarishi vya Maambukizi ya VVU.Imechukuliwa 2.07.2023
Testing overview. HIV.gov. https://www.hiv.gov/hiv-basics/hiv-testing/learn-about-hiv-testing/hiv-testing-overview.Imechukuliwa 2.07,2023
HIV/AIDS: The basics. AIDSinfo. https://aidsinfo.nih.gov/understanding-hiv-aids/fact-sheets/19/45/hiv-aids--the-basics/. Imechukuliwa 2.07.2023