Kwa kawaida mimba ya binadamu huchukua wastani wa takribani wiki 40 kabla ya kujifungua. Umri huu huhesabiwa kuanzia siku ya kwanza ya kuona hedhi ya mwisho.
Baadhi ya wanawake umri wa mimba huweza chukua wiki 41 hadi 43 na kuendelea. Umri wa mimba unaweza kuchukua wiki nyingi kutokana na sababu mbalimbali zilizoelezewa katika makala ya ujauzito uliopitiliza tarehe.
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?
Soma zaidi kuhusu umri wa ujauzito katika wiki na miezi kwa kubofya makala zifuaazo
Rejea za mada hii
Ujauzito uliopitiliza tarehe. https://www.ulyclinic.com/elimu-kwa-mjamzito-magonjwa/ujauzito-uliopitiliza-tarehe. Imechukuliwa 02.10.2024
ULY CLINIC- Wiki 40 za ujauzito. https://www.ulyclinic.com/elimu-kwa-mjamzito-magonjwa/wiki-ya-40-ya-ujauzito.Imechukuliwa 02.10.2024
ULY CLINIC-Dalili za uchungu wiki 40. https://www.ulyclinic.com/elimu-kwa-mjamzito-magonjwa/dalili-za-uchungu-wiki-ya-40. Imechukuliwa 02.10.2024
ULY CLINIC- KUjifungua ni wiki ngapi?. https://www.youtube.com/watch?v=-glj98daTDQ. Imechukuliwa 02.10.2024