Zolanas ni nini?
Zolanas inatibu nini?
Dawa zenye mwingiliano na zolanas ni zipi?
Majibu
Zolanas ni jina la kibishara la dawa inayofahamika kama lansoprazole. Lansoprazole ipo kwenye lundi la dawa za kutibu vidonda vya tumbo, qmbapo hutumika pamoja na dawa zongine.
Dawa hii hufanya kazi kwa kupunguza kwa kupunguza uzalishaji wa tindikali tumboni.
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu lansoprazole?
Kusoma maelezo zaidi kuhusu dawa hii kupitia makala ya Dawa lansoprazole.
Wasiliana na daktari wako pia kwa maelezo zaidi
Tahadhari
ULY CLINIC inakushauri usitumie dawa yoyote pasipo kupata ushauri wa daktari wako.
Uly Clinic haitahusika na chochote kama ukipata madhara kwa kutumia dawa pasipo ushauri na daktari wako.