Matibabu
​
Imeandikwa na madaktari wa ulyclinic
​
Ili kupunguza harufu mbaya kinywani, jaribu kufanya usafi wa kinywa kila siku na kwa utaratibu maalumu. Kwa kufanya usafi utuzuia harufu kinywani na kuzuia kupata magonjwa ya kinywa na fizi.
Matibabu ya harufu mbaya kinywani huwa ya aina kdhaa na hutegemea nini kinachosababisha harufu hiyo. Kama harufu mbaya kinywani mwako inasababishwa na ugonjwa Fulani, daktari wako wa meno atakupeleka kwa mtaalamu wa magonjwa(daktari ili kutibiwa)
Kwa visababishi vinavyotokana na kinywa na meno au fizi, daktari wa meno yeye mwenyewe atakutibu.
Baadhi ya hatua zinazotakiwa kuchukuliwa katika matibabu ya harufumnbaya katika kinywa ni;
Kusafisha kinywa kwa kutumia kemikali zinazoua bakteria wanaosababisha harufu mbaya kinnywani, pia utashauriwa ama kupewa dawa ya meno amabyo husafisha na kuondoa bakteria wanaochangia kusabaisha harufumbaya kinywani.
Matibabu ya maognjwa ya kinywa:
Daktari wa kinywa atakutibu maradhi ya kinywa kama unayo kwa kutumia dawa ambazo zitaua vimelea wanaochangia kusabaisha harufu mbaya kinywani.
Badili mtindo wa maisha
Ili kupunguza harufu mbaya ya kinywa ni sharti
-
Kupiga mswaki kila unapokula kitu chochote kwa kutumia dawa ya meno yenye fluoride, kwa kawaida isipungue mara mbili kwa siku. Kupiga mswaki kila unapokula imeonyesha kupunguza harufu mbaya ya kinywa kwa asilimia kubwa.
-
Chukutua kinywa kwa maji; husaidia kuondoa mabaki ya chakula yaliyogoma kwenye uwazi katikati ya meno na fizi. Kwa kufanya hivi utaondoa harufu ya kinywa kutokana na mabaki ya chakula kwenye kinywa.
-
Safisha ulimi kwa mswaki, ulimu hutunza mabaki ya chakula na bakteria hukuw akwa wingi kwenye mabaki hayo, unapokuwa unapiga mswaki usisahau kusafisha ulimi wako vizuri na hili litapunguza harufu katika kinywa chako kwa asilimia kadhaa.
-
Kama unavishika meno hakikisha unavivua na kuviosha vizuri ili kuondoa utando wa bakteria na utasaidia kupunguza harufu kinywani.
-
Usiache kinywa chao kuwa kikavu; jaribu kunyw maji mara kwa mara, sio kahawa, pombe na vinywaji baridi kwani husababisha midomo kuwa mkavu. Tafuna bazooka kusisimua uzalishaji wa mate. Kwa mtu mwenye tatizo la midomo mikavu daktari anaweza kukupa dawa za kuongeza uzailshaji mate ili kupambana na tatizo la harufumbaya kinywani.
-
Rekebisha chakula chako; zuia kula vyakula vyenye kitunguu maji, swaumu, ama pilipili na vingine ambavyo husababisha harufu mbaya kinywani. Kula vyakula vyenye sukari kwa wingi pia huchangia harufu mbaya kinywani.
-
Nunua mswaki mpya kwa utaratibu wako. Kama mswaki umeshaharibika kama baada ya kila miezi mitatu ama mi 4 jaribu kubadili mswaki huo kwani uwezo wake wa kusafisha hupungua.
-
Weka utaratibu wa kufanyiwa uchunguzi wa kinywa.
Onana na daktari kwa uchunguzi wa kinywa chako ujue kama kuna tatizo lolote ili ufanyiwe matibabu ama upate ushauri kwake. Kama unaeno ya bandia ama vishika meno vitasafishwa na kuchunguzwa pia.
​
Matibabu yasiyo dawa
​
Badili mtindo wa maisha
Ili kupunguza harufu mbaya ya kinywa ni sharti
-
Kupiga mswaki kila unapokula kitu chochote kwa kutumia dawa ya meno yenye fluoride, kwa kawaida isipungue mara mbili kwa siku. Kupiga mswaki kila unapokula imeonyesha kupunguza harufu mbaya ya kinywa kwa asilimia kubwa.
-
Chukutua kinywa/mdomo kwa maji, husaidia kuondoa mabaki ya chakula yaliyogoma kwenye uwazi katikati ya meno na fizi. Kwa kufanya hivi utaondoa harufu ya kinywa kutokana na mabaki ya chakula kwenye kinywa.
-
Safisha ulimi kwa mswaki, ulimu hutunza mabaki ya chakula na bakteria hukuw akwa wingi kwenye mabaki hayo, unapokuwa unapiga mswaki usisahau kusafisha ulimi wako vizuri na hili litapunguza harufu katika kinywa chako kwa asilimia kadhaa.
-
Kama unavishika meno hakikisha unavivua na kuviosha vizuri ili kuondoa utando wa bakteria na utasaidia kupunguza harufu kinywani.
-
Usiache kinywa chao kuwa kikavu; jaribu kunyw maji mara kwa mara, sio kahawa, pombe na vinywaji baridi kwani husababisha midomo kuwa mkavu. Tafuna bazooka kusisimua uzalishaji wa mate. Kwa mtu mwenye tatizo la midomo mikavu daktari anaweza kukupa dawa za kuongeza uzailshaji mate ili kupambana na tatizo la harufumbaya kinywani.
-
Rekebisha chakula chako, zuia kula vyakula vyenye kitunguu maji, swaumu, ama pilipili na vingine ambavyo husababisha harufu mbaya kinywani. Kula vyakula vyenye sukari kwa wingi pia huchangia harufu mbaya kinywani.
-
Nunua mswaki mpya kwa utaratibu wako. Kama mswaki umeshaharibika kama baada ya kila miezi mitatu ama mi 4 jaribu kubadili mswaki huo kwani uwezo wake wa kusafisha hupungua.
-
Weka utaratibu wa kufanyiwa uchunguzi wa kinywa.
-
Onana na daktari kwa uchunguzi wa kinywa chako ujue kama kuna tatizo lolote ili ufanyiwe matibabu ama upate ushauri kwake. Kama unaeno ya bandia ama vishika meno vitasafishwa na kuchunguzwa pia.
​
Imechapishwa 12/5/2018
Imeboreshwa 7/11/2018