top of page

Fomu ya Historia ya Mgonjwa wa Ngozi

Fomu hii inachukua maelezo muhimu kutoka kwako yatakayomsaidia daktari kutambua tatizo ulilonalo na kukupa matibabu yanayoendana nawe. Tafadhali jaza taarifa za ukweli kwa kadri unavyofahamu. Tunazingatia sera yetu ya usiri na faragha kuchakata taarifa zako na ni siri baina yako na daktari wako.

Anza na Kodi ya nchi mfano kwa Tanzania ni +255

7. Una historia ya kuugua saratani ya ngozi?
8. Unaugua ugonjwa wowote sugu?

Ugonjwa wowote sugu ni kama UKIMWI, Kisukari, Shinikizo la juu la damu, Pumu n.k

9. Je, una historia ya magonjwa yoyote ya ngozi sambamba na tatizo ulilonalo sasa?

Magonjwa ya ngozi ni kama Vidonda vya Herpes Midomoni au Ukeni au umeni, Chunusi, Mkanda wa Jeshi Saratani ya ngozi, Melanoma, Kupoteza nywele mwilini, Muwasho kichwani, Ngozi kavu, Soriasis, Rosacea, Pumu ya ngozi n.k.

Andika magonjwa mengine ya ngozi kama yapo ambayo hayajaorodheshwa kwenye swali na 9

11. Je, una historia ya kufanyiwa upasuaji mkubwa?
13. Je unavuta sigara au tumbaku?
14. Kwa mwanamke. Je una ujauzito?

Kama wewe si mwanamke usijibu swali hili

Jaza kama umejibu una ujauzito kwenye swali 14 hapo juu

Orodhesha dawa zozote unazotumia kwa sasa na dozi yake.


Mfano


  1. Parasetamo Vidonge vitatu mara tatu kwa siku.

17. Je , unatumia dawa za kuyeyusha damu?

Dawa za kuyeyusha damu nikama Aspirin, Coumadin Plavix na mafuta ya samaki

Eleza tatizo lako ni nini, lina muda gani, dalili zinazoambatana, madhara yatokanayo na tatizo hilo, umetumia dawa gani kujitibu, umeshafanya vipimo kabla? na nini unataka Madaktari wetu wakufanyie kutatua tatizo lako.

bottom of page