top of page
Imeandaliwa na madaktari wa ULY-Clinic
Homa ya mbu-malaria
Homa ya mbu/malaria ni ugonjwa unaojulikana sana katika bara la afrika, ni ugonjwa unaoenezwa na mbu na husababishwa na kimelea aitwaye plasmodium. Mgonjwa asipotibiwa malaria huweza kusabisha madhara makubwa mwilini na mwisho wake ni kifo.
Malaria inadhuru sana watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitan, watoto hawa huweza kupata dalili kali ukilinganisha na mtu mzima.
Imeboreshwa 11/4/2016
Imepitishwa 3/3/2015
bottom of page