top of page
Imeandaliwa na madaktari wa ULY-Clinic
​
Matibabu
Matibabu ya malaria hutegemea vitu vingi kama vile; ukali wa ugonjwa, aina ya kimelea wa malaria, na sehemu gani ya dunia ulipopata ugonjwa huo(kwa wale wasafiri).
Madawa ya kutibu malaria huwa ya aina tofauti lakini malengo ya matumizi ya dawa ni kupambana na kuondoa vimelea wa malaria katika damu.
Kwa matibabu na ushauri kuhusu matibabu wasiliana nasi ama ongea na daktari wako.
Imepitiwa 11/4/2016
Imepitishwa 3/3/2015
bottom of page