Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt.Adolf S, MD
Dkt. Benjamin L, MD
26 Septemba 2022 19:30:21
Azicure
Azicure ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Azithromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali kama vile magonjwa ya zinaa, UTI, nimonia nk.
Uzito wa Azicure
Azicure hupatikana katika fomu ya vidonge, dawa ya sindano na dawa ya maji katika uzito ufuatao:
Vidonge
Miligramu 250
Miligramu 500
Dawa ya maji
Miligramu 100 katika ujazo wa mililita 5 (100 mg/5 ml)
Miligramu 200 katika ujazo wa mililita 5 (200 mg/5 ml)
Dawa ya sindano
Miligramu 500 katika chupa moja (500 mg/vial)
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu Azicure?
Kwa maelezo zaidi kuhusu Azicure soma mada inayohusiana na Azithromycin
Majina mengine ya kibiashara ya azicure
Majina mengine ya kibiashara yanayofayika au kufanana kama azithromycin au azicure ni pamoja na:
3Z
ABACTEN
ARZOMICINA
ASIPRAL
ATIZOR
ATROMICIN
AZADOSE
AZASITE
AZENIL
AZI
AZIMAX
AZITRAX
AZITRIX
AZITROCIN
AZITROCIN
AZITROM
AZITROMAX
AZITROMERCK
AZITROMIN
AZITRON
AZUMA
AZITROX
AZITROXIL
AZOMYCIN
CLINDAL
CLINDAZ
FARMIZ
GIGATROM
GOXIL
MAZITROM
MERCKAZITRO
NEOFARMIZ
NOVATREX
RIBOTREX
RICILINA
SELIMAX
SUMAMED
TORASEPTOL
TREX
TROZOCINA
TROZYMAN
ULTREON
UNIZITRO
VINZAM
ZAHA
ZENTAVION
ZETO
ZIMICINA
ZITHROMAX
ZITROMAX
ZITRONEO
ZITROZINA
ZMAX
Z-PAK
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Azithromycin. https://www.google.com/amp/s/www.medindia.net/amp/drug-price/azithromycin/azicure-500mg.htm. Imechukuliwa 26.09.2022
Azithromycin. https://www.drugs.com/azithromycin.html. Imechukuliwa 26.09.2022
Zmax. https://reference.medscape.com/drug/zithromax-zmax-azithromycin-342523. Imechukuliwa 26.09.2022
https://www.ulyclinic.com/majibu-ya-maswali/majina-mengine-ya-azithromycin-ni-yapi%3F. Imechukuliwa 26.09.2022
Imeboreshwa:
26 Septemba 2022 19:30:21