top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Salome A, MD

Dkt. Benjamin L, MD

27 Septemba 2022 16:46:54

Claranta

Claranta ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama clarythromycin. Dawa hii ipo katika kindi la dawa jamii ya macrolide linalotumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria, pia hutumika kutibu vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na bakteria H.pylori (katika mchanganyiko wa lansoprazole, clarythromycin na tinidazole).


Uzito wa clarithromycin


Clarythromycin hupatikana katika fomu ya vidonge vya kumeza na dawa ya maji katika uzito ufuatao.


Vidonge

  • Miligramu 250

  • Miligramu 500


Dawa ya maji

  • Miligramu 125 katika ujazo wa mililita 5 (125 mg/5 ml)

  • Miligramu 250 katika ujazo wa mililita 5 (250 mg/5 ml)


Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu Claranta?


Kwa maelezo zaidi kuhusu claranta soma mada inayohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya Claranta


Yafuatayo ni baadhi ya majina mengine ya kibiashara ambayo humaanisha Clarythromycin.


  • ADEL

  • ANZOPAC

  • BIAXIN

  • Biaxin XL

  • BICLAR

  • CLAMYCIN

  • CLARIMAX

  • CLARITAB

  • CLARITH

  • HELICLEAR

  • HELIPAC

  • KLACID

  • KLACIPED


Mada zilizojibiwa na makala hii


Makala hii inasaidia kupata majibu ya mada zifuatazo:


  • Claranta ni dawa gani?

  • Claranta ni nini?

  • Claranta inatibu nini?

  • Claranta hutibu nini?

  • Claranta inatibu ugonjwa gani?

  • Claranta inaruhusiwa kutumika na pombe?

  • Claranta na pombe

  • Dawa ya Claranta

  • Mjamzito anaweza tumia Claranta?

  • Claranta inaitumiaje?

  • Claranta ni dawa ya nini?

  • Claranta inafanya kazi baada ya masaa mangapi?

  • Je, Clarantakwa siku unakunywa vidonde vingapi?

  • Matumizi ya Claranta

  • Claranta ina madhara?

  • Claranta hukaa muda gani mwilini?

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

  1. Tabletwise. Claranta Tablet. https://www.google.com/amp/s/www.tabletwise.net/philippines/claranta-tablet/amp. Imechukuliwa 27.09.2020

  2. Mediscape.Clarithromycin dosing, indications, interactions, adverse effects, and more.

  3. https://reference.medscape.com/drug/clarithromycin-342524. Imechukuliwa 27.09.2020

  4. Drugs. Com. Clarithromycin - brand name list from Drugs.com. https://www.drugs.com/ingredient/clarithromycin.html. Imechukuliwa 27.09.2020

  5. Antimicrobial.org .Clarithromycin - Brand names and Manufacturer - Antimicrobe.org. http://www.antimicrobe.org/drugpopup/Clarithromycin%20-%20Brand%20names.htm. Imechukuliwa 27.09.2020

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 17:32:04

bottom of page