Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
27 Septemba 2022, 17:59:35
Doxlin
Doxlin ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria iliyo kundi la tetracycline inayofahamika kama doxycycline. Doxlin hutumika kutibu maradhi mablimbali yanayosababishwa na bakteria.
Baadhi ya maambukizi inayotibu ni chunusi, homa ya matumbo, homa ya riketsia, kisonono, klamidia, magonjwa ya fizi na mengine. Hufahamika pia kama Doxlin® na Doxlin® CAP
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu doxlin
Soma maelezo zaidi ya doxlin na magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Doxycycline na ujauzito
Majina mengine ya kibiashara ya doxycycline
Majina mengine yanayoashiria doxlin ni:
Vibramycin
Doryx
Doryx MPC
Oracea
Acticlate
Atridox
Doxy 100
Doxy 200
VIdeo kuhusu doxycycline
Tazama kwa kubofya linki ya doxycycline
Maswali yanayojibiwa na mada
Mada hii inasaidia kukupa maelezo au kiungo cha kupata majibu ya maswali yafuatayo:
Doxlin inatibu nini?
Doxlin hutibu nini?
Doxlin inatibu ugonjwa gani?
Doxlin inaruhusiwa kutumika na pombe?
Doxlin na pombe
Dawa ya Doxlin
Mjamzito anaweza tumia Doxlin?
Doxlin inaitumiaje?
Doxlin ni dawa ya nini?
Doxlin inafanya kazi baada ya masaa mangapi?
Je, Doxlin kwa siku unakunywa vidonde vingapi?
Matumizi ya Doxlin
Doxlin ina madhara?
Doxlin hukaa muda gani mwilini?
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Doxycycline. Healthline. https://www.healthline.com/health/drugs/doxycycline-cost. Imechukuliwa 27.09.2022
TATA 1mg. Doxlin-LB Capsule. https://www.1mg.com/drugs/doxlin-lb-capsule-601996. Imechukuliwa 27.09.2022
Generic drugs. Doxlin. https://www.ndrugs.com/?s=doxlin. Imechukuliwa 27.09.2022
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022, 18:01:53