Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Salome A, MD
Dkt. Benjamin L, MD
27 Septemba 2022, 16:17:02
Erythrokant
Erythrokant ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Erythromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria .
Uzito wa erythrokant
Erythrokant hupatikana katika fomu ya vidonge, tembe na dawa ya maji katika uzito ufuatao
Vidonge
Miligramu 250
Miligramu 500
Tembe
Miligramu 250
Dawa ya maji
Miligramu 125 katika ujazo wa mililita 5 (125mg/5 mls)
Miligramu 200 katika ujazo wa mililita 5 (200 mg/5 mls)
Muligramu 250 katika ujazo wa mililita 5 (250 mg/5 mls)
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu erythrokant?
Kupata maelezo zaidi kuhusu erythrokant; magonjwa inayotibu, maudhi yake na mengineneyo soma mada inayohusu Erythromycin
Majina mengine ya kibiashara ya Erythrokant
Yafuatayo ni majina mengine ya kibiashara ambayo humaanisha Erythrokant na Erythromycin baadhi yake ni yafuatayo:
E.E.S.-200
E.E.S.-400 Filmtab
EryPed 200
EryPed 400
Ery-Tab
Erythrocin Lactobionate
Erythrocin Stearate Filmtab
E.E.S. Granules
Eryc
Ilosone
PCE
PCE Dispertab
Video ya mada ya erythomycin
Bofya hapa kutazama video ya dawa erythromycin kujifunza zaid
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Tablet wise.Erythrokant. https://www.google.com/amp/s/www.tabletwise.net/nigeria/erythrokant-tablet/amp. Imechukuliwa 27.09.2020
Mediscape. Ery-tab. https://reference.medscape.com/drug/ery-tab-pce-dispertab-erythromycin-base-342526 Imechukuliwa. 27.09.2020
Medicines.org.uk. Erythromycin 250 mg/5 ml Sugar Free Granules for Oral Suspension.https://www.medicines.org.uk/emc/product/4562/smpc#gref. Imechukuliwa 27.09.2020
Medicines.org.uk. Erythromycin Suspension 125mg/5ml SF. https://www.medicines.org.uk/emc/product/1180/smpc#gref. Imechukuliwa 27.09.2020
Arpmed. Erythromycin, 200mg /5 ml granules for oral suspension. https://arpimed.am/%D5%B0%D5%A1%D5%B5-erythromycin-200mg-5-ml-granules-for-oral-suspension/. Imechukuliwa 27.09.2020
Drugs.com. E.E.S. Granules (Oral). https://www.drugs.com/cons/e-e-s-granules-oral.html. Imechukuliwa 27.09.2022
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022, 16:17:02