Mwandishi:
Mhariri:
Imeandikwa:
Dkt. Sospeter B, MD
Dkt. Peter A, MD
5 Juni 2022, 14:31:04
Redmentin
Ni dawa mchanganyiko wa amoxicillin na clavulanate inayotumika kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria wanaouliwa na dawa hii wanaosababisha maambukizi kwenye koo, masikio, ngozi, mapafu na tishu zingine.
Wakati amoxicillin ni moja ya antibayotiki jamii ya penicillin, clavulanate ni kizuia kimeng’enya beta lactamase. Mchanganyiko huu hutengeneza dawa yenye uwanja mpana wa kuua bakteria wanaodhuriwa na dawa hii.
Uzito wa Redmentin na maana yake
Redmentin 625mg humaanisha Redmentin yenye uzito wa miligramu 625
Redmentin 375mg humaanisha Redmentin yenye uzito wa miligramu 375
Redmentin 1gm humaanisha Redmentin yenye uzito wa gramu 1
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Redmentin?
Soma maelezo ya Redmentin kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Amoxyclav na ujauzito
Dawa amoxyclav
Majina mengine ya kibiashara ya Redmentin
Majina mengine yanayoashiria Redmentin ni:
Amoxyclav
Amoclan
Augmentin
Augmentin ES-600
Augmentin XR
Alti-Amoxi Clav
Apo-Amoxi Clav
Novo-Clavamoxin 125
Novo-Clavamoxin 250
Ratio-Amoxi Clav 250f
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Redmentin ni dawa gani?, Redmentin ni nini?, Redmentin inatibu nini?, Redmentin hutibu nini?, Redmentin inatibu ugonjwa gani?, Redmentin inaruhusiwa kutumika na pombe?, Redmentin na pombe, Dawa ya Redmentin, mjamzito anaweza tumia Redmentin?, Redmentin naitumiaje?, Redmentin ni dawa ya nini?, Redmentin inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Redmentin kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Redmentin, Redmentin ina madhara?, Redmentin hukaa muda gani mwilini?
Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii:
Dawa Amoxyclav. https://www.ulyclinic.com/dawa/Amoxyclav.Imechukuliwa 05.06.2022
Amoxcillin.ClavunateMedScape. https://reference.medscape.com/drug/augmentin-amoxicillin-clavulanate-342474. Imechukuliwa 05.06.2022
ClevelLandClinics.Amoxiclav. https://my.clevelandclinic.org/health/drugs/18767-amoxicillin-clavulanic-acid-tablets. Imechukuliwa 05.06.2022
WebMd.AmoxicillinClavunate. https://www.webmd.com/drugs/2/drug-1922-6295/amoxicillin-potassium-clavulanate-oral/amoxicillin-clavulanic-acid-extended-release-oral/details. Imechukuliwa 05.06.2022
Practo. Amoxiclav 625. https://www.practo.com/medicine-info/amoxyclav-625-tablet-47783. Imechukuliwa 05.06.2022
Amoxicillin And Clavulanate (Oral Route)
Print. https://www.mayoclinic.org/drugs-supplements/amoxicillin-and-clavulanate-oral-route/description/drg-20072709. Imechukuliwa 05.06.2022
Imeboreshwa:
27 Septemba 2022, 16:52:15