top of page

Majina ya dawa ya kibiashara

Claranta ni nini?

Claranta

Claranta ni jina la kibiashara la dawa ya kuua bakteria jamii ya macrolide inayojulikana kama clarythromycin.

Erythrokant  ni nini?

Erythrokant

Erythrokant ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Erythromycin inayotumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria .

Azicure ni dawa gani?

Azicure

Azicure ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Azithromycin. Dawa hii ipo katika kundi la macrolide na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali kama vile magonjwa ya zinaa, UTI, nimonia nk.

Omesk ni dawa gani?

Omesk

Omesk ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama omeprazole, dawa na hutumika kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na uzalishwaji mwingi wa tindikali tumboni kama vile vidonda vya tumbo nk.

Gulamox ni nini?

Gulamox

Gulamox ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama amoxicillin. inayotumuka kutibu magonjwa mbali mbali yanayosababishwa na bakteria.

Cotrim ni nini?

Cotrim

Cotrim ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama co-trimoxazole yenye mchanganyiko wa dawa aina mbili ambazo ni sulfamethoxazole na trimethroprim.

bottom of page