top of page

Kalenda ya umri wa mimba

Kalenda ya umri wa mimba

Jinsi Inavyofanya Kazi:

  • Ingiza tarehe ya mwisho ya hedhi (LMP) katika kisanduku cha tarehe.

  • Bonyeza kitufe cha "Kokotoa", na mfumo utahesabu taarifa muhimu:

    • Umri wa ujauzito kwa wiki (kuanzia siku ya mwisho ya hedhi).

    • Trimesta ya sasa:

      • Kipindi cha kwanza cha ujauzito (Trimesta ya Kwanza): Wiki 1 - 12

      • Kipindi cha pili ch aujauzito (Trimesta ya Pili): Wiki 13 - 27

      • Kipindi cha tatu cha ujauzito (Trimesta ya Tatu): Wiki 28 - 40

    • Idadi ya wiki zilizobaki hadi kujifungua (ujauzito huchukua wiki 40).

  • Matokeo yanaonyeshwa chini ya kitufe cha kukokotoa.

bottom of page