Mlo tiba
Nyumbani
Dawa A-Z
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Pata tiba
Elimu Afya
Mlo Afya
Maswali & Majibu
Ujauzito
Blog
Forum
About ULY CLINIC Limited
Mengineyo
Aflatoksin ni sumu inayozalishwa sana na fangasi wenye jina la Aspergillus flavus, Aspergillus parasiticus na Aspergillus nomius.
Amnizia ni nini?
Ni upotevu wa kumbukumbu zote unaoanza ghafla na kudumu kwa muda mrefu na hujitofautisha kwa kuambatana na ukanganyifu na huwa na mahusiano ya kisaikolojia.
Ni upotevu wa kumbukumbu unaotokana na madhaifu ya ufanyaji kazi wa ubongo wa temporo, sifa mojawapo ya amnizia hii ni kubaki na mabaki ya kumbukumbu
Amnizia ya tiba ni upotevu wa kumbukumbu kutokana na matumizi ya dawa aina fulani, unaopotea baada ya kuacha dawa.