top of page
Aflatoksin
Mwandishi:
ULYCLINIC
19 Julai 2021 14:17:16
Aflatoksin ni nini?
Aflatoksin ni sumu inayozalishwa sana na fangasi wenye jina la Aspergillus flavus, Aspergillus parasiticus na Aspergillus nomius.
Sumu ya aflatoxin hufanyika wapi?
Fangasi hawa hupatikana kwenye mazao mengi kama vile
Shayiri
Mahindi
Karanga
Njugu
Mbegu za pamba
Almond
Korosho
Nazi
Pine
Pekani na mazao ya mimea mingine mtama
Ufuta
Mchele
Viungo mbalimbali
Kokoa na ngano
Sumu hii ina madhara gani?
Sumu ya aflatoksin ni kihatarishi kikubwa cha saratani ya ini kwa binadamu.
Matamshi
Matamshi ya neno Aflatoksin ni 'Afla- TOk-Sin'
Majina mengine
ULY CLINIC inatumia jina jingine la sumu ya karanga kumaanisha aflatoksin.
Imeboreshwa,
21 Septemba 2024 11:08:50
bottom of page