top of page

Amoss’ sign

Mwandishi:

ULY CLINIC

25 Machi 2025, 13:13:07

Amoss’ sign

Amoss’ sign ni nini kwa kiswahili?

Ni neo tiba lenye jina la kiswahili la "Ishara ya Amoss"



Ni mbinu ya kuepuka maumivu wakati wa kuinamisha mgongo. Ili kugundua ishara hii, muulize mgonjwa kuinuka kutoka katika hali ya kulala hadi kukaa. Ishara hii inajitokeza wakati mgonjwa anapoweka mikono yote miwili kwenye meza ya uchunguzi nyuma ya mgongo kuegamia.

Imeboreshwa,

25 Machi 2025, 13:13:07

bottom of page