top of page
Homaini kali
Mwandishi:
Dkt. Mangwella S, MD
21 Septemba 2024, 12:41:37
Homaini kali ni mwitikio wa mchomokinga kwenye ini unaotokana na sababu kuu ambazo ni maambukizi ya virusini, dawa, sumu au magonjwa ya mtafunokinga na kuhifadhi mafuta. Wagonjwa huweza kuwa na dalili za maumivu, homa, na ongezeko la kemikali aspartate aminotransferase na alanine aminotransferase katika majimaji ya damu.
Imeboreshwa,
5 Oktoba 2024, 15:38:23
bottom of page