top of page
Sumu ya mazao
Mwandishi:
ULY CLINIC
21 Septemba 2024 11:08:03
Sumu ya mazao ni neno tiba linalotumika kumaanisha sumu inayozalishwa kwenye mazao fangasi Aspergillus flavus na Aspergillus parasiticus, wanaopatikana sana maeneo ya ukanda wa joto na unyevu. Hupatikana sana kweye mazao jamii ya karanga na mahindi.
Utumiaji wa sumu hii katika vyakula husababisha kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo, degedege na dalili kali za inikutofanya kazi. Matumizi ya muda mrefu ya mazao yenye sumu hii huweza pelekea madhara kama ile udumavu, inivipele saratani ya ini.
Majina mengine mengine
Sumu ya mazao hufahamika pia kama aflatoksin
Sumu ya Afla
Imeboreshwa,
21 Septemba 2024 11:30:38
bottom of page