top of page

Uchungu halisi

Mwandishi:

ULY CLINIC

5 Oktoba 2024, 15:38:02

Uchungu halisi

Uchungu halisi hufahamika pia kama leba halisi, hutokana na kujongea kwa misuli ya tumbokunapopelekea mtoto kushuka kwenye nyonga mpaka pale anapotoka nje ya uzazi. Soma zaidi kuhusu leba halisi kwa maelezo zaidi.

Imeboreshwa,

5 Oktoba 2024, 15:39:59

bottom of page