top of page
Uvimbe baridi
Mwandishi:
ULY CLINIC
25 Julai 2021, 09:21:46
Uvimbe baridi ni nini?
Uvimbe baridi ni neno linalotumika kuelezea uvimbe usio na hatari au uvimbe ambao si saratani. Mfano wa vimbe baridi ni haipaplezia ya tezi dume, faibroidi, haipaplezia ya endometria. lipoma. n.k
Mjina mengine ya uvimbe baridi ni;
Uvimbe benaini
Uvimbe wa kawaida
Imeboreshwa,
6 Juni 2022, 14:44:44
bottom of page