Hutokea endapo yai lililochavushwa litajipandikiza mbali na eneo maalumu ndani ya mfuko wa uzazi ambapo kwa kawaida yai hujipandikiza. Eneo hilo huweza kuwa mrija, shingo ya uzazi au ogani ndani ya tumbo.
Mpox au homa ya nyani ni ugonjwa unaotokea kwa nadra na husababishwa na kirusi cha Mpox kinachoathiri mara nyingi panya, tumbili, wanyama jamii ya nyani na wakati mwingine binadamu.