top of page

Magonjwa na saratani mbalimbali

Sehemu hii utasoma kuhusu hali na magonjwa mbalimbali

Kusinyaa ini

Kusinyaa ini

Husababishwa na magonjwa mbalimbali ya ini kama maambukizi ya kirusi cha homa ya ini B na C au unywaji wa pombe wa kupindukia n.k.

Ugonjwa wa PID

Ugonjwa wa PID

Hutokea sana kwa wanawake waliowahi kuathiriwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gono na pangusa, usipotibiwa kwa wakati husababisha ugumba kwa mwanamke 1 kati ya wanawake 8.

Kucheua tindikali

Kucheua tindikali

Hutokea endapo vilivyomo tumboni vinatoka nje ya tumbo kupitia umio kutokana na udhaifu wa koki ya chini ya umio.

Kufyonzwa kwa kichanga

Kufyonzwa kwa kichanga

Ni mchakato asili unaohusisha umeng’enyaji wa kichanga aliyekufa na ufyonzwaji wake kwenye mwili wa mama katika hatua yoyote ya ujauzito baada ya uumbaji wa ogani za mtoto kukamilika.

bottom of page