top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021, 09:17:06

Hatua za utengenezaji chanjo za COVID-19

Chanjo ya Corona imepitia katika hatua gani mpaka kufikia hatua ya kutumika?

Ugunduzi wa chanjo huhusisha hatua mbalimbali za za kuthibitisha usalama na ubora wa chanjo kwa matumizi ya binadamu.


Utafiti huanzia maabara, kisha chanjo hujaribiwa kwa wanyama, na baada ya hapo hujaribiwa kwa binadamu. Majaribio kwa binadamu hupitia hatua tatu za kuangalia usalama na ubora wa chanjo.


Chanjo hizi za COVID-19 zimepitia hatua zote zilizotajwa hapo juu, bila kuruka hatua hata moja. Hivyo chanjo hizi ni salama na zinafanya kazi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 12:28:26

Rejea za mada hii

bottom of page