Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Sospeter B, MD
6 Januari 2024 15:16:36
Je, kikohozi cha UKIMWI kikoje?
Ingawa kikohozi kikavu ni dalili mojawapo ya maambukizi ya HIV, hutakiwi kuhofu sana endapo una dalili hii.
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha kikohozi kikavu kama vile; kucheua tindikali, ugonjwa wa sinazi, maambukizi ya chlamydia au mwitikio wa mwili kwenye hewa ya baridi na sababu zingine.
Â
Jambo la msingi utatakiwa kufanya ni kuonana na daktari wako endapo kikohozi kitaendelea kwa muda mrefu kwa uchunguzi.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
6 Januari 2024 15:16:36
Rejea za mada hii
CDC. https://www.ulyclinic.com/maswalinamajibu. 06.01.2024