top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

10 Oktoba 2021, 12:37:45

Je ikitokea wale wote wanaoumwa Corona wakachanjwa na wakapona je, kuna haja ya wengine kuchanjwa?

Je ikitokea wale wote wanaoumwa Corona wakachanjwa na wakapona je, kuna haja ya wengine kuchanjwa?

Ndio!

Kila mmoja anatakiwa kuchukua tahadhari za kujikinga na COVID-19 ikiwemo kupaata chanjo.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 12:37:45

Rejea za mada hii

bottom of page