top of page

Mwandishi:

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 12:20:42

Kuna kiashiria kuwa chanjo ya COVID-19 imeanza kufanya kazi baada ya kuchoma?

Je utajuaje kama umepata kinga kamili pale unapochanjwa chanjo ya COVID-19? Kuna kiashiria kuwa chanjo imeanza kufanya kazi?

Hakuna kiashiria kitakachoonekaa nje ya mwili kuonyesha kuwa chanjo ya COVID-19 imeanza kufanya kazi lakini inapotokea ukapata maambukizo madhara yake hayawezi kuwa sawa na yule ambaye hajachanjwa. Au wakati mwingine unaweza kuona jamii iliyo kuzunguka inaathirika alafu wewe uko salama

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 12:21:31

Rejea za mada hii

bottom of page