Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Peter A, MD
20 Novemba 2021, 19:22:27
Je, unaweza kutumia majira ya vichocheo viwili kama una saratani ya matiti?
Hapana!
Unashauriwa kutotumia vidonge vyenye vichocheo viwili kama una saratani ya matiti au una historia ya saratani ya matiti.
Njia gani ya uzazi wa mpango ni salama?
Njia salama ya uzazi wa mpango kwa mwenye saratani ya matiti au mwenye historia ya saratani ya matiti ni ile isiyokuwa na vichocheo.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
20 Novemba 2021, 19:22:27
Rejea za mada hii
Cancer. Gov.Oral Contraceptives (Birth Control Pills) and Cancer Risk. https://www.cancer.gov/about-cancer/causes-prevention/risk/hormones/oral-contraceptives-fact-sheet#. Imechukuliwa 20.11.2021
Mørch LS, et al. Contemporary hormonal contraception and the risk of breast cancer. N Engl J Med 2017;377:2228-39.
Zhu H, et al. Oral contraceptive use and risk of breast cancer: a meta-analysis of prospective cohort studies. Eur J Contracept Reprod Health Care 2012;17:402-14.
Kahlenborn C, et al. Oral contraceptive use as a risk factor for premenopausal breast cancer: a meta-analysis. Mayo Clin Proc 2006;81:1290-302.