top of page

Imeandikwa na  ULY CLINIC

​

​

Makundi ya dawa kulingana na matumizi yake.

​

Yapo makundi aina kadhaa ya dawa, ambayo yameorodheshwa kwenye makala hii yanayotokana na tatizo linalotibiwa na dawa husika.

 

Kumbuka kabla ya kutumia dawa yoyote ni vema ukawasiliana na daktari wako ili akupe maelekezo ya kitaalamu ya aina ya dawa, dozi gani utumie kulingana na tatizo na hali yako ya kiafya.

 

Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari huweza kukutelea madhara makubwa pamoja na kifo, baadhi ya dawa huwa na mwingiliano na dawa zingine.

 

ULYCLINIC inakushauri ufuateuongee na daktari wako kuhusu dawa unayotaka kutumia na ufuate ushauri wake siku zote.

​

​

Chagua kundi la dawa kuona ni dawa gani zilizopo kwenye kundi hilo;

​

  1. Dawa Za Kuongeza Uchavushaji Wa Mayai Na Uzalishaji Wa Mbegu Za Kiume

  2. Dawa Za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu

  3. Dawa Za Kutibu Fangasi Wa kanyagio na maeneo katikati ya vidole vya miguu- Tinea pedis

  4. Dawa za kutibu fangasi wa Kifuani na maeneo ya juu mgongoni

  5. Dawa za kutibu fangasi

  6. Dawa za kutibu Fangasi wa kwenye Kiwiliwili cha Mwili

  7. Dawa za kushusha shinikizo la juu la damu/dawa za kutibu shinikizo la juu la damu

  8. Dawa za kutibu Fangasi wa maeneo ya siri na kinena

  9. Dawa Za Kutibu Fangasi Wa viganja vya Miguu na Mikono

  10. Dawa Za Kutibu Gauti na Maumivu yake

  11. Dawa za Kutibu Kisukari

  12. Dawa za kuzuia kupata UKIMWI(PEP)

  13. Dawa za kutibu Kuhara/Kuharisha

  14. Dawa Za Kutibu- Kuondoa Kichefuchefu na Kutapika

  15. Dawa Za Kutibu Maambukizi Kwenye Masikio

  16. Dawa Za Kutibu Maambukizi Ya Masikio Kwa Watoto

  17. Dawa Za Kutibu Nimonia (Pneumoni)

  18. Dawa za Kutibu Ugumba

  19. Dawa Za Kutibu UTI

  20. Dawa za Kutibu Vibarango Kichwani

  21. Dawa za kutibu fangasi kwenye ulimi na mdomo

  22. Dawa Za Kutuliza Maumivu Ya Kichwa

  23. Dawa Za Kutuliza Maumivu Ya Majeraha

  24. Dawa Za Kutuliza Maumivu Ya UTI

  25. Dawa Za Kutuliza-Kuondoa Maumivu Ya Hedhi

  26. Dawaza kutibu Fangasi wa Usoni

  27. Dawa za kutibu maumivu kwa wagonjwa wa kisukari

  28. Dawa za kutibu Upungufu wa damu mwilini

  29. Dawa za kutibu Magonjwa ya zinaa (gonorrhea na kisonono)

  30. Dawa za kupunguza makali ya tezi dume lililovimba

  31. Dawa za kutibu konstipesheni(choo kigumu, kukosa haja kubwa)

  32. Dawa za UKIMWI

  33. Dawa za kutibu malaria

  34. Dawa za kutibu BPH

  35. Dawa za kutibu PID

  36. Dawa za kutibu Hepatitis B(hepataitiz B) Homa ya Ini

  37. Dawa za kutibu maambukizi ya Kirusi cha Herpes na ugonjwa wa varicella zoster

  38. Dawa za kupunguza uzalishaji wa tindikali tumboni

  39. Dawa za kutibu matatizo ya rentina

  40. Dawa za kutibu uveitis

  41. Dawa za kutibu macho makavu

  42. Dawa za kutibu maambukizi ya bakteria kwenye macho

  43. Dawa za kutibu virusi machoni

  44. Dawa za kutibu magonjwa ya zinaa kwa mama mjamzito

  45. Dawa za sindromu ya utumbo mfupi(short bowel syndrome)

  46. Dawa za kutibu haja ngumu(kulinisha haja ngumu)

  47. Dawa za kutibu Taifod(homa ya matumbo)

  48. Dawa za kushusha homa

  49. Dawa za kutibu mafua ya kirusi cha Influenza

  50. Dawa za kutibu chango la tumbo(maumivu ya kunyonga kwa tumbo)

​

 Bofya hapa kuonyesha orodha nyingine ya dawa

​

Imeboreshwa 08.06.2021

bottom of page